
MMISHONARI TEUVO KOPRA![]() Sisi, wamishonari Teuvo na Linnea Korpa tumekuwa tukifanya kazi ya kudumu katika kanisa tangu mwaka 1974, kwanza Finland halafu Tanzania kuanzia mwaka 1989 hadi 1991 ambapo tulishughulikia shule ya Biblia iliyoko Bukoba. Wanafunzi katika shule hiyo walikuwa wachungaji na wainjilisti wa makanisa. Sisi tulirejea Finland na kufanya kazi katika kanisa kabla ya kurejea Tanzania tena mwaka 1996. Tulifanya kazi ya Mungu Tarime na baadaye Iringa. Mwaka 2002 tulirudi Finland. Kama unayo maswali au maono aina mbali mbali, Tafathali uniandike: teuvo.kopra@gmail.com. |